BI.MWANAMWEMA SHEIN ASISITIZA SUALA MATUNZO KWA WAZEE NA WATOTO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BI.MWANAMWEMA SHEIN ASISITIZA SUALA MATUNZO KWA WAZEE NA WATOTO


MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, MamaMwanamwema Shein amesema suala la matunzo ya wazee na ulezi wawatoto linaendeana na utekelezaji wa Sera na Ilani ya Chama chaMapinduzi (CCM).
Amesema hayo katika hafla ya utoaji wa zawadi ya sikukuu ya Eid elHajj kwa wazee na watoto wanaoishi katika nyumba za Wazee Welezona Sebleni pamoja na vituo vya kutunzia watoto vya SOS na Mazizini,alizozianda kwa kushirikiana na na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais waZanzibar Asha Suleiman Idd.
Akizungumza kwa niaba ya Mama Mwanamwema, Waziri wa Wizara yaKazi, Uwezeshaji, Wazee, Wanawake wa watoto Moudline Casticoalisema katika kufanikisha malengo hayo Serikali inatumia zaidi yashilingi Milioni 200 kwa mwezi, ikiwa ni malipo ya Pensheni jamii kwawazee wenye umri wa miaka 70 na kuendelea.
Sambamba na hilo, alisema Serikali inaendelea kuyafanyia matengenezomajengo ya makaazi ya wazee wasiojiweza ili kuleta ustawi bora wamaisha yao, pamoja na kuwapatia huduma bure za afya ikiwa nikuthamini m... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More