Biashara United yaikomalia Yanga ikiifunga bao 1-0 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Biashara United yaikomalia Yanga ikiifunga bao 1-0

Timu ya Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya Biashara United baada ya kupokea kipigio cha bao 1-0  mchezo wa Ligio Kuu kwenye Uwanja wa Karume mjini Musoma mkoani Mara.


Source: MwanaspotiRead More