Bibi aliyeshtaki kwa Rais Magufuli apewa hati - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bibi aliyeshtaki kwa Rais Magufuli apewa hati

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angeline Mabula, amemkabidhi Bibi Nyasasi Masige, hati za viwanja viwili vilivyopo eneo la Bunda mkoa wa Mara, na kutoa onyo kwa wataalamu wa ardhi kutotoa ushauri potofu kwa viongozi wa Serikali wakati wa utekelezaji wa majukumu ya sekta ya ardhi. Utoaji wa hati kwa Bibi


Source: Kwanza TVRead More