Bigirimana aomba kuvunja mkataba - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bigirimana aomba kuvunja mkataba

Bigirimana alisema sio kweli madai yote yanayosemwa juu yake, na yamekua hivyo kwasababu amekuwa akifuatilia madai yake kwa uongozi kwa muda mrefu bila mafanikio na kupigwa chenga kila mara, hivyo wanatafuta njia ili aonekane hana nidhamu.


Source: MwanaspotiRead More