BIKO YANG'ARISHA MAISHA YA MKAZI WA JIJI LA DAR,YAMKABIDHI PIKI PIKI,FEDHA TASLIMU MILIONI MOJA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BIKO YANG'ARISHA MAISHA YA MKAZI WA JIJI LA DAR,YAMKABIDHI PIKI PIKI,FEDHA TASLIMU MILIONI MOJAMratibu Msaidizi wa Matukio wa Biko, Hassan Ahmed kushoto akimkabidhi kadi ya pikipiki mshindi wao wa bodaboda na sh milioni moja, anayejulikana kama Steven Yohana Mbelwa, mkazi wa Dar es Salaam baada ya kufanikiwa kuibuka mshindi kwenye droo kubwa ya juzi Jumapili, ambapo droo hizo kubwa hufanyika kila Jumatano na Jumapili kwa kupitia wachezaji wanaotumia namba ya Kampuni 505050 na kumbukumbu 2456. Picha na Mpigapicha wetu.
Mshindi wa pikipiki na sh milioni moja, Steven Yohana Mbelwa, kulia akifurahia na wenzake baada ya kufanikiwa kukabidhiwa zawadi zake kutoka kwenye bahati nasibu ya Biko aliyoshinda katika droo kubwa iliyochezeshwa juzi Jumapili ambapo droo hizo kubwa hufanyika kila Jumatano na Jumapili kwa kupitia wachezaji wanaotumia namba ya Kampuni ambayo ni 505050 na kumbukumbu ni 2456. Picha na Mpigapicha wetu.... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More