Bila K-Lyn Labda Ningekuwa Nimeshakufa :-Mengi - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bila K-Lyn Labda Ningekuwa Nimeshakufa :-Mengi

Mume wa mwanadada K-lyn amefunguka na kusema kuwa katika maisha yake labda kama asingekutana na mlimbwende huyo angekuwa ameshakufa mpak sasa kutokana na malezi na mapenzi anayoyapata kutoka kwake.


Mengi akiongea na kituo cha tv cha citizen anasema kuwa watu wanadhani ilikuwa rahisi kumpata mwanadada huyo kwa sababu tu yeye amekuwa akijulikana kama mwanaume tajiri lakini ukweli ni kwamba hakuna kitu kama icho kwa sababu mwanadada huyo alikuwa na msimamo na alikuwa akimkwepa sana.


Mengi anasema kuwa alikuwa akimfatilia sana hata kusafiri kutoka mji mmoja kwenda mwingine pale aliposikia kuwa mwanadada huyo yuko nje na yeye alikuwa nje na walikuwa wakiwasiliana na hata alipomuomba kumuona hakutokea katika maongezi yao.


mengi anasema kuwa baada ya hapo walirudi Tanzania na waliendelea kuwasilina ana ndipo alipokubali kuonana  nae kwa mara ya kwanza  wakiwa Tanzania.


Mengi anakiri kuwa haikuwa rahisi kwake kumpata mwanadada k-lyn lakini haimanishi kuwa alifankiwa kwa sababu ya pesa, lakin... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More