BILA RONALDO URENO YASHINDA UGENINI, YAIPIGA POLAND 3-2 - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BILA RONALDO URENO YASHINDA UGENINI, YAIPIGA POLAND 3-2

Bernardo Silva akishangilia baada ya kuifungia Ureno bao la tatu dakika ya 52 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya wenyeji, Poland kwenye mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Slaski mjini Chorzow. Mabao mengine ya Ureno iliyomkosa nyota wake, Cristiano Ronaldo yalifungwa Andre Silva dakika ya 31 na Kamil Glik aliyejifunga dakika ya 42, wakati ya Poland yalifungwa na Krzysztof Piatek dakika ya 18 na Jakub Błaszczykowski dakika ya 77 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More