Bingwa wa Dunia mita 400 viunzi afariki dunia kwa ajali ya gari - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bingwa wa Dunia mita 400 viunzi afariki dunia kwa ajali ya gari

Mkenya Nicholas Bett, amefariki Dunia, baada ya kuhusika katika ajali mbaya ya gari iliyotokea leo Jumatano asubuhi katika barabata kuu inayopita Msitu wa Burnt, Kaunti ya Nandi.


Source: MwanaspotiRead More