Binti wa miaka 17 amponza Drake, wadau wataka ashtakiwe kwa kosa la unyanyasaji kingono(+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Binti wa miaka 17 amponza Drake, wadau wataka ashtakiwe kwa kosa la unyanyasaji kingono(+video)

Msanii wa muziki kutoka Canada, Drake huenda akapatwa na majanga ya kuburuzwa mahakamani kwa kosa la kumtomasa binti wa miaka 17 jukwaani.Drake alifanya tukio hilo mwaka 2010 kwenye show yake mjini Colorado Marekani, ambapo alimuita msichana huyo jukwaani na kuanza kumuuliza maswali huku akimtomasa kifuani.

Wanaharakati wameibua kashfa hiyo ya kutaka Drake akamatwe, ikiwa bado kuna vugu vugu la sakata la unyanyasaji wa kingono linalomkabili R. Kelly.

Soma zaidi – Wanawake walionyanyaswa kingono na R. Kelly wafunguka mazito ‘alituvua nguo na kuanza kutu..’ 


The post Binti wa miaka 17 amponza Drake, wadau wataka ashtakiwe kwa kosa la unyanyasaji kingono(+video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More