BITEKO:WATANZANIA FICHUENI WANAOKWEPA KODI NA KUTOROSHA MADINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BITEKO:WATANZANIA FICHUENI WANAOKWEPA KODI NA KUTOROSHA MADINI

Waziri wa madini Doto Mashaka Biteko akipokea zawadi ya picha kutoka kwa moja wa wafanyabiashara wa madini  Waziri wa madini Doto Mashaka Biteko akizungumza wakati wa uzinduzi wa soko la madini mkoani Arusha lililozinduliwa rasmi jana.Baadhi ya wafanyabiashara wa vito vya madini wakifatilia kwa makini  waziri Biteko akiangalia baadhi ya vito vilivyopo katika soko hilo baadhi ya wafanyabiashara wakiangalia vito vilivyopo katika soko hilo  Mwenyekiti wa TAMIDA, Sammy Mollel akizungumza katika uzinduzi huo ambapo alishukuru kwa kuanzishwa kwa soko la madini pia alipongeza serikali kwa bajeti ya mwaka 2019/20 kwani imeondoa kilio cha muda mrefu cha wachimbaji na wauzaji wa madini nchini.Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro akiongea katika uzinduzi huo Mbunge wa viti maalumu ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya kudumu ya bunge nishati na madini Catherine Magige akiongea katika uzinduzi huo 

Na Woinde Shizza Michuzi Tv,Arusha
Waziri wa madini Doto Mashaka Biteko,amewataka wafan... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More