Bizimungu angalau sasa anapumua - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bizimungu angalau sasa anapumua

USHINDI wa mabao 3-1 iliyopata Mwadui FC juzi Jumapili dhidi ya Mbeya City katika mechi ya Ligi Kuu Bara umemfanya Kocha Ally Bizimungu kupumua akianza kusahau kipigo cha mabao 6-2 alichopewa na Ruvu Shooting wiki iliyopita mjini Mlandizi, Pwani.


Source: MwanaspotiRead More