Bob junior Asema Hana Matatizo na Diamond, Wao ni Ndugu. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bob junior Asema Hana Matatizo na Diamond, Wao ni Ndugu.

Baada ya muda mrefu kuonekana wasanii hawa wawili kuwa na bifu yaan Bob Junior na Diamond Platinumz,lakini baadae msanii Bob Junior alikuja na kujirudi na kusema kuwa hakuna matatizo yoyote kati yao huku akisema kuwa inawezekana kusingekuwa na WCB kama yeye asingeweza kufanya kazi na Diamond kwa mara ya kwanza.


Wiki iliyopita alipokuwa akiongea na Wasafi tv, Bob Juniour  alisema anajivunia sana Diamond kwa sababu anajua wapi wametoka na wapi aligundua kipaji cha msanii huyo.


Ikiwa jana ni siku ya kuzaliwa na tiffah ambae ni mtoto wa Diamond Platinumz, watu wengi walijitokeza kuwapongeza wazazi lakini pia kumpongeza mtoto wao, na mmoja kati yao alikuwa ni Bob Juniour na kuandika yafuatayao.


NAJUAMNAONGEAMENGI LAAKINI HAMJUI CHOCHOTE KUHUSU SISI,BASI LEO NAWAAMBIA KUWA HATUGOMBANAGI NA WALA HATUNA UGOMVI  NA HATUKUWA NA MATATIZO YOYOTE TULIPOTOKEA TUNAJUA MIMI NA NDUGU YANGU.TUKO PAMOJA LEO HAD KESHO AKHERA  NA NIKIWA KAMA BABA MDOGO WA TIFA NASEMA IVI HAPPY BIRTHDAY DAUGHTER  WE LOV... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More