Bobi Wine akamatwa, tamasha lake la muziki lapigwa ‘STOP’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bobi Wine akamatwa, tamasha lake la muziki lapigwa ‘STOP’

Mbunge wa Kyadondo Mashariki Robert Kyagulanyi jina maarufu Bobi Wine amekamatwa baada ya yeye na wafuasi wake kugombana na maafisa wa polisi kufuatia hatua ya mamlaka kufutilia mbali tamasha lake la muziki la siku kuu ya pasaka.

Hali ya wasiwasi ilitanda baada ya maafisa wa polisi kuuzuia msafara uliokuwa ukiongozwa na mbunge huyo katika tamasha lake la One Love huko Busabala.

Kulingana na gazeti la Daily Monitor nchini Uganda Mbunge wa Makindye Magharibi Allan Ssewanyana alizirai na ikalazimika wafuasi wake kumbeba hadi katika gari moja ambalo lilikuwa likimsubiri.


VIDEO: @PoliceUg breaking into Bobi Wine's car and arresting him

📸 @NinyeTabz pic.twitter.com/mMOoTGQmC8

— BOBI WINE (@HEBobiwine) April 22, 2019

#NBSUpdates inside the @PoliceUg Mobile prison van is;
Bobi wine/ Hon. Kyagulanyi
Hon. Zaake
Bajjo
Abtex
Bamu Lulenzi following the Arrest in Busabala one love beach pic.twitter.com/4QDofOPYOG

— Kitimbo Thomas 🇺🇬 (@thomas_kitimbo) April 22, 2019

UPF have surrounded th... Continue reading ->Source: Bongo5Read More