Bobi Wine akamatwa tena, apelekwa pasipojulikana - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bobi Wine akamatwa tena, apelekwa pasipojulikana

MBUNGE wa Kyadondo Mashariki nchini Uganda, Robert Kyagulanyi maarufu kama ‘Bobi Wine’ amekamatwa na Jeshi la Polisi alipowasilisi katika Uwanja wa Ndege wa Entebbe akitokea nchini Marekani alikokuwa anapatiwa matibabu. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Polisi nchini humo wamenukuliwa na vyombo vya habari wakisema kuwa, Bobi Wine hajapewa kibali cha kufanya mkutano au shughuli yoyote, ...


Source: MwanahalisiRead More