Bocco afungiwa mechi tatu, Kotei, Dante kikangoni - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bocco afungiwa mechi tatu, Kotei, Dante kikangoni

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefungia nahodha wa Simba, John Bocco mechi tatu na faini ya Sh 500,000, huku kiungo James Kotei wa Simba na Andrew Vicent ‘Dante’ wa Yanga wakipelekekwa kamati ya maadili.


Source: MwanaspotiRead More