Bocco, Kagere sasa washindwe wao tu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bocco, Kagere sasa washindwe wao tu

KIKOSI cha Simba kinaendelea na maandalizi yao ya mwisho kabla ya kesho Jumanne kuliamsha mbele ya Al Ahly katika mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini huku nyuma mashabiki wa klabu hiyo wamepata furaha kubwa baada ya kusikia Waarabu wamekuja bila nyota wao wanne matata.


Source: MwanaspotiRead More