Bodi Mpya ya Mfuko wa PSSSF Yazinduliwa - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bodi Mpya ya Mfuko wa PSSSF Yazinduliwa

Frank Mvungi- MAELEZOWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama  amezindua Bodi  mpya ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kuiagiza Bodi hiyo kutekeleza miradi ya kimkakati ili lengo la kuanzishwa kwa mfuko huo litimie.Akizungumza leo Jijini Dodoma katika hafla ya uzinduzi huo amesema kuwa wanachama wana matarajio makubwa na utendaji wa Bodi hiyo, hivyo jukumu lake ni kuhakikisha kuwa inafanya tathmini ya miradi yote iliyokuwa inatekelezwa na mifuko iliyounganishwa ili kuona namna bora ya kuiendeleza."Jukumu lenu kama Bodi ni kuhakikisha kuwa miradi kama ule wa Kiwanda cha kuzalisha viatu Karanga inaendelezwa kwa maslahi ya nchi yetu, sambamba na miradi yote ya kimkakati iliyopo ni vyema mkaharakisha mchakato wa kuifanya ianze mara moja kwa kuwa matarajio ya Serikali ni kuona mfuko huo unakuwa imara, endelevu na unatoa huduma bora ya Hifadhi ya Jamii"; Alisisitiza Mhe. Mhagama.Akifafanua amesema ku... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More