BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT MARAMBA MCHAKATO WA UZALISHAJI WA MICHE YA KOROSHO - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BODI YA KOROSHO YASHAURIWA KUZITUMIA TAASISI ZA KIJESHI ZA JKT MGAMBO NA JKT MARAMBA MCHAKATO WA UZALISHAJI WA MICHE YA KOROSHO

 MKUU wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza katika mkutano wa wadau wa zao la korosho uliokuwa na lengo la kujadili maendeleo ya Tasnia ya zao la korosho kwa kipindi cha msimu wa miaka mitatu katikati ni  Meneja Bodi ya korosho Kanda ya Kaskazini Mashariki Ugumba Kilasa na kulia ni Mrajisi Msaidizi vyama vya Ushirika Mkoa Tanga Jacklin Senzige Meneja Bodi ya korosho Kanda ya Kaskazini Mashariki Ugumba Kilasa katika mkutano huo kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigella. Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe akizungumza katika mkutano huo. MKUU wa wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga Gwakisa Kasongwa katikati akiwa na wakuu wa wilaya wa wilaya za Kilindi Sauda Mtondoo kushoto kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa anayaafuata ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga Yona Mark wakifuatilia kwa umakini mkutano huo.BODI ya korosho Mkoa Tanga imeshauriwa kuzitumia taasisi za Kijeshi za JKT Mgambo na JKT Maramba ili ziweze kusaidia katika mchakato wa uzalishaji wa miche ya mime... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More