BODI YA UTALII YAANDA MAONESHO YA UTALII NCHINI YATAKAYOANZA OKTOBA 12 - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BODI YA UTALII YAANDA MAONESHO YA UTALII NCHINI YATAKAYOANZA OKTOBA 12

Mwenyekiti wa bodi wa Utalii Nchini (TTB) Jaji Mstaafu Maiko Miayo akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana maonesho ya kimataifa ya utalii yajulikanayo kama Swahili International Tourism Expo (SITE) ambayo hufanyika kila mwaka mwezi Oktoba Jijini Dar es Salaam.
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
BODI ya Utalii Nchini (TTB) imeandaa maonesho ya kimataifa ya utalii yajulikanayo kama Swahili International Tourism Expo (SITE) ambayo hufanyika kila mwaka mwezi Oktoba Jijini Dar es Salaam.
Lengo la maonesho hayo ni kuwaunganisha wafanyabiashara wadogo na wakati wa utalii Tanzania pamoja na wafanyabiashara kutoka masoko makuu ya Utalii.
Akizungumza na waandishiwa haari kuelekea maonesho hayo yanayotarajiwa kuanza Oktoba 12 hadi 14, Mwenyekiti wa bodi wa TTB Jaji Mstaafu Maiko Miayo amesema kuwa, onesho hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na makampuni ya uoneshaji 170 kutoka katika nchi mbalimbali za Afrika na Ukanda wa bahari ya Hindi pamoja na wafanyabiashara wa kimataifa na vyombo vya habari 30... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More