BODI YA UTALII YAMTAKA MISS TANZANIA QUEEN ELIZABETH KUTANGAZA UTALII WA NCHI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BODI YA UTALII YAMTAKA MISS TANZANIA QUEEN ELIZABETH KUTANGAZA UTALII WA NCHI

Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiBODI ya Utalii Tanzania (TTB) imemkabidhi Miss Tanzania 2018 Queen Elizabeth baadhi ya vielelezo vya utalii ili akavitumie kuitangaza Tanzania kama eneo bora la utalii kwa washiriki na watu kutoka mataifa mbalimbali. 
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Geofrey Tengeneza amesema kuwa Queen Elizabeth jukumu lake kubwa ni kushirikiana na bodi ya utalii katika kutangaza utalii wa ndani kwa maana ya kuvitangaza vivutio  vya utalii kwa watanzania na kuwahimiza kuvitembela vivutio vyetu hivyo.
 Amesema kuwa, mrembo huyu aliteuliwa kuwa Miss Domestic na tafanya kazi ya kutangaza vivutio vyote kwa kushirikiana na TTB na kwa kuzingatia hilo ndiyo maana leo  amefika ofisini kwao kwa ajili ya kuwaaga akielekea kuiwakilisha Tanzania katika shindano la Miss World litakalofanyika nchini China . 
Mrembo wetu anatarajia kusafiri siku ya Ijumaa 9/11/2018 na atakuwa huko kwa mwezi mmoja mpaka siku ya kilele cha shinda... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More