BODI YA UWEKEZAJI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BODI YA UWEKEZAJI YA CPA KANDA YA AFRIKA YAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM


Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Mhe. Justin Muturi akiongoza kikao cha Bodi ya Uwekezaji ya Chama hicho Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Wajumbe wa Bodi hiyo na Wakwanza Kulia ni Katibu wa CPA-Kanda ya Afrika na ambaye pia ni Katibu wa Bunge la Tanzania Ndg. Stephen Kagaigai na wanaofuatia upande huo ni Wajumbe wa Sekretarieti ya Bodi hiyo. Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Mhe. Justin Muturi (kushoto) akisalimiana na Katibu wa CPA-Kanda ya Afrika na ambaye pia ni Katibu wa Bunge la Tanzania Ndg. Stephen Kagaigai kabla ya kuanza kwa kikao. Katibu wa CPA-Kanda ya Afrika na ambaye pia ni Katibu wa Bunge la Tanzania Ndg. Stephen Kagaigai (kushoto) akizungumza na Katibu wa Bunge la Kenya Ndg. Michael Sialai. Spika wa Bunge la Kenya na Mwenyekiti wa Kamati ya Uon... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More