BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO YARIDHISHWA NA UBORA WA MITA ZINAZOZALISHWA NCHINI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BODI YA WAKURUGENZI YA TANESCO YARIDHISHWA NA UBORA WA MITA ZINAZOZALISHWA NCHINI

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) Dkt Alexander Kyaruzi  katika akiwa kwenye picha ya pamoja kulia kwake ni Mjumbe wa bodi ya Shirika hilo Balozi James Nzagi  na kushoto ni kwake ni Mjumbe wa Bodi hiyo Gilay Shamika
Bodi yaWakurugenziya TANESCO imesema inaridhishwa na Ubora wa mita zinazozalishwa hapa nchini kwani zinaviwango sawan amita zinazo zalishwa njeya nchi.
Hayo yalibainishwa leo wakati wa ziara iliyofanywa na Bodi yaWakurugenzi hiyo katika kiwanda cha Inhemeterna Baobab Energy System vilivyopo mjini Dar es salaam, Mwenyekiti wa Bodi yaWakurugenziya TANESCO Dkt. Alexander Kyaruzi amesema kuwa dhumuni kubwa la ziara hiyo ni kukagua na kujiridhisha na ubora wa mita na uwezo wa viwanda hivyo katika kukidhi mahitaji ya TANESCO na REA.
Alisema kwani kwasasa uhitaji wa Mita umekua mkubwa kutokana na uhitaji wa umeme kwa wananchi wa Vijijini na Mjini, pamoja na maboresho yanayofanywa na Shirika yakubadilisha mita za wateja wa zamani ambao walifu... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More