BOKO WAUA WANANCHI SABA NA TEMBO WAFANYA UHARIBIFU MAZAO YA WANANCHI WA IRINGA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BOKO WAUA WANANCHI SABA NA TEMBO WAFANYA UHARIBIFU MAZAO YA WANANCHI WA IRINGA

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Iringa, Stephen Mhapa akiwa na mkurugenzi wa halmashauri hiyo Robert Masunya wakati wa baraza la madiwani wakijadili kuhusu athari za wanyama Tembo na Boko
Madiwani na wataalam wa halmashauri ya wilaya ya Iringa wakiwa kwenye baraza kujadili athari zitikanazo na wanyama Tembo na Boko


NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

JUMLA ya wananchi saba wameuwawa na mnyama aina ya Boko ndani ya mwezi mmoja katika bwawa la Mtera lililopo katika tarafa ya Ismani halmashauri ya wilaya ya Iringa huku pia mnyama aina ya Tembo akiendelea kuharibu mazao ya wakulima wa halmashauri hiyo.

Akizungumza katika baraza la madiwani ,diwani wa viti maalum kupitia chama cha mapinduzi kutoka katika tarafa ya Ismani Yusta Kinyanga alisema kuwa mnyama aina ya Boko wamezaliana kwa kasi kubwa na kuwa wengi katika bwawa la Mtera na kusababisha vifo vya wananchi kutoka na wingi wao.

“Saizi Boko hao wapo wengi mno katika bwawa hili la Mtera na kusababisha vifo vya wananchi ambavyo havina tija yoyot... Continue reading ->

Source: KajunasonRead More