BOMBA LA GESI ASILIA KUVUTIA UWEKEZAJI WA VIWANDA NCHINI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BOMBA LA GESI ASILIA KUVUTIA UWEKEZAJI WA VIWANDA NCHINI

Toleo la gesi asilia likiwa limeshafungwa baada ya kukamilika kwa kazi ya utoboaji wa bomba hiloWataalam wakiandaa Mtambo wa kutoboa bomba la gesi asilia ili kuruhusu kujenga toleo la gesi asilia.Wajenzi wa Toleo wakiwa katika hatua za mwisho za kuweka Pig Coupon kifaa kinachowezesha kifaa cha usafishaji wa bomba kupita ndani ya bomba bila kukwama kwenye toleo hilo---Uwepo wa bomba la gesi asilia nchini umekua ni kivutio kikubwa cha uwekezaji wa viwanda haswa katika maeneo ambayo bomba hilo limepita jambo ambalo linafanya ndoto za Tanzania ya viwanda kutimia.
Meneja Mkuu wa GASCO Mha. Baltazar Mrosso ameeleza haya mara baada ya kukamilika kwa kazi ya utoboaji wa bomba la gesi asilia na kuweka toleo katika kijiji cha Mwanambaya Wilayani Mkuranga kwa ajili ya kuwasambazia wateja wa viwandani katika Wilaya hiyo.
“Leo hii tumekamlisha kwa mafanikio kutoboa na kujenga toleo katika eneo hili Mwanambaya kwanza ni ushindi kwetu kwakuwa tumeweza kutenganza kitivo kingine cha kuvutia uwekezaji w... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More