BONAZA LA PASAKA LAFANA VIWANJA VYA MAO ZANZIBAR - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BONAZA LA PASAKA LAFANA VIWANJA VYA MAO ZANZIBAR

WAFANYAKAZI wa Ikulu Zanzibar na Ikulu Dar es Salaam wakifanya mazoezi ya viungo kabla ya kuaza kwa mchezo wa mpira katika Bonaza la Michezo ya Pasaka lililofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung's. Zanzibar (Picha na Ikulu Zanzibar ).  NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Kassim Ali akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Ikulu Sports Club Dar es Salaam, kabla ya kuaza kwa mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung's Zanzibar.(Picha na Ikulu Zanzibar)MCHEZAJI wa Timu ya Ikulu Sports Club Dar es Salaam Azori Ndege mwenye mpira akimpita beki wa Timu ya Ikulu Sports Clun Zanzibar Khamis Bakari wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Pasaka uliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung's Zanzibar Timu ya Ikulu Zanzibar imeshinda bao 6-2.(Picha na Ikulu Zanzibar)MSHAMBULIAJI wa Timu ya Ikulu Sports Club Zanzibar Rajab Wakil akimpita Beki wa Timu ya Ikulu Sports Club Dar es Salaam Okororo Sadiq, wakati wa mchezo wao wa Bonaza la Pasaka uliofanyika Uwanja wa Mao Zedu... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More