Bondia abaki utupu ili kupunguza kilo kabla ya pambano (+picha) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bondia abaki utupu ili kupunguza kilo kabla ya pambano (+picha)

Mwanamasumbwi wa Uingereza, Amir Khan amejikuta akiingia katika heka heka za kupunguza uzito wake kwa kuvua nguo moja moja kwenye mwili baada ya kupitiliza uzito wa kilo 66 ‘welterweight’ uliyotakiwa kabla ya pambano lake dhidi ya Samuel Vargas litakalo pigwa wikiendi hii.


Amir Khan had to strip naked to make the welterweight limit of 10st 7lbs on Friday afternoon


Bondia, Amir Khan akionekana akisitiriwa baada ya kuvua nguo zote na kubaki utupu hiyo nyeupe hapo chini ni chupi yake


Khan amejikuta akiwa na uzito mkubwa kuliko ule unao takiwa na hivyo akaanza kuvua soksi na kumalizia nguo iliyokuwa inamstiri sehemu zake za siri kisha kubaki kama alivyozaliwa.


The Bolton man looked surprised after failing to make the weight at the first attempt


Hii ni mara ya kwana kwa bondia huyo kupigana uzito wa ‘welterweight’ tangu afanye hivyo mara ya mwisho mwaka 2015 katika pambano ambalo amepigwa na Phil Lo Greco uzito wa kilo 68.


His opponent Samuel Vargas had no issues making weight and tipped the scales at 10st 6lbs


Bondia Amir Khan (kulia) na Samuel Vargas (kushoto)


Vargas ambaye ni raia wa Canada ameonekana kuwa mtu mwenye kujiamini mbele ya Khan wakati wakipima uzito hii leo siku ya Ijumaa kabla ya pambano lao la hapo kesho siku ya Jumamosi.


... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More