Bondia Katie Taylor kutetea taji WBA kwa wanawake - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bondia Katie Taylor kutetea taji WBA kwa wanawake

Bondia wa Katie Taylor mzaliwa wa Ireland, atatetea taji lake la ubingwa wa Dunia wa vyama vya IBF na WBA uzani wa Light kwa wanawake kwa kucheza na Cindy Serrano, pambano litakalofanyika mjini Boston, Oktoba 20 mwaka huu.


Source: MwanaspotiRead More