“Bongo Kinabalu Mastaa Kibao Wanafanya Vitendo Vichafu R. Kelly Nyuma”- Diva - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

“Bongo Kinabalu Mastaa Kibao Wanafanya Vitendo Vichafu R. Kelly Nyuma”- Diva

Mtangazaji wa Clouds Fm mrembo Loveness Malinzi maarufu kama Diva The Bawse amefungukia Sakata la Msanii mkubwa wa RnB Kutoka Marekani R.Kelly.


R. Kelly anatuhumiwa kwa kufanya vitendo vya unyanyasaji dhidi ya wanawake na ubakaji wa wasichana kuanzia umri wa miaka 12, 13 na kuendelea ambapo madhambi yake yalianikwa kwenye documentary ya ‘Surviving R. Kelly’.


Diva amepima uzito Suala hilo na kusema vitendo hivyo pia vinafanywa na wasanii wakubwa hapa Tanzania ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameandika:


Nimeangalia #SurvivingR.Kelly toka juzi sijashangaa sana kiukweli zaidi ya kuumia. Tatizo liko kote. Kwa wazazi hasa. watu wengi ambao ni wanaitwa role model duniani watu maarufu wengi ni wachafu sana. Sana sana sana. Hata hapa Tanzania wapo zikiruhusiwa docuseries kama hizi tutasikia mengi sana na kuna hata watasema mtu anasingiziwa ili achafuliwe sababu pia fans hawa nao bendera fata upepo sana. Kwanza ndio wanapenda mambo ya ajabu .. So mejiuliza all the time ilikuwaje wak... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More