BONGO STAR SEARCH YAZINDULIWA RASMI, KUONESHWA KURUKA STARTIMES SWAHILI - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BONGO STAR SEARCH YAZINDULIWA RASMI, KUONESHWA KURUKA STARTIMES SWAHILI

Na Khadija Seif, Globu ya jamiiMSIMU wa Tisa wa mashindano ya kusaka vipaji vya muziki Bongo Star search (BSS) umezinduliwa rasmi ikishirikiana na Kampuni ya Startimes jijini Dar es salaam.
Akizungumza na wanahabari Meneja Masoko wa Kampuni ya Startimes David Malisa amesema leo jijini Dar es Salaam kuwa wanawapongeza BSS kwa kukuza vipaji toka msimu wa kwanza mpaka msimu huu ujao ambao unatarajia kuruka hewani hivi karibuni kupitia Startimes Swahili .
Malisa ameeleza mipango yao kushirikiana na Bss kuhakikisha inakuza vipaji na kunyanyua vijana kuonyesha vipaji vyao,  pia kipindi hiki ni chenye maudhui na kinaweza kutazamwa na rika zote .
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark production ambae pia ni Jaji Mkuu Ritta Paulsen ameiomba Serikali kuangalia na kutoa mchango kwenye sekta ya muziki kwani inaongeza Pato la Taifa na wasanii wamekua wakiendesha maisha yao kupitia muziki.
Hivyo  amesema katika  msimu huu wanaomba ushirikiano kwa watanzania wote kwani wanaamini hiki ni k... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More