BORUSSIA DORTMUND UGENINI KWA SCHALKE 04 KWENYE RUHR DERBY - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BORUSSIA DORTMUND UGENINI KWA SCHALKE 04 KWENYE RUHR DERBY

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KILA inapofika wikendi  basi wapenzi wa Soka wanajua tayari ni muda mwingine wa burudani yao wanayoipenda zaidi. Shauku ya kuwaona wachezaji wanaowapenda na kandanda la kuvutia, mahali sahihi ni ST World Football ambao watakuonyesha kandanda muda wote.
Jumamosi hii katika Bundesliga, Schalke 04 watakuwa nyumbani dhidi ya Borrusia Dortmund ambao wanaongoza ligi huku wakiwa hawajapoteza mchezo wowote ndani ya Bundesliga tangu msimu huu ulipoanza. Borussia Dortmund wamefunga jumla ya mabao 37 huku Schalke wakifunga magoli 14 tu katika michezo 13 ya ligi na wanashikilia nafasi ya 12 katika msimamo wa ligi ambayo Dortmund wanaongoza. Mchezo huo utarushwa MUBASHARA kupitia ST World Football HD saa11:30 jioni siku ya Jumamosi. Dortmund wanaonekana kukamilika sana katika safu ya kiungo na ushambuliaji ambayo inaongozwa na Marco Reus ambaye amaekuwa nje kwa muda akiuguza majeraha. Reus amefunga magoli 9 na kusaidia mengine 5 huku kinara wa magoli Paco Alcacer aki... Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More