BRAZIL NA SENEGAL ZATOKA SARE YA 1-1 MECHI YA KIRAFIKI - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BRAZIL NA SENEGAL ZATOKA SARE YA 1-1 MECHI YA KIRAFIKI

Wachezaji wa Liverpool, Mbrazil Roberto Firmino na Msenegal Sadio Mane wakipongezana baada ya mechi ya kirafiki baina ya timu zao za taifa usiku wa jana Uwanja wa Taifa mjini Singapore. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Firmino akianza kuifungia Brazil dakika ya tisa kabla ya Famara Diedhiou kuisawazishia Senegal kwa penalti dakika ya 45 na ushei Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More