BREAKING: Mnyama Simba SC apangiwa na wababe wa DR Congo, TP Mazembe robo fainali ya klabu bingwa Afrika - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BREAKING: Mnyama Simba SC apangiwa na wababe wa DR Congo, TP Mazembe robo fainali ya klabu bingwa Afrika

Klabu ya Simba kutoka Tanzania jioni ya leo imepangiwa kucheza na TP Mazembe ya DR Congo kwenye hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika. Tazama droo nzima hapa chini

Simba wataanzia nyumbani, na mchezo utapigwa kati ya tarehe 5 na 6 Mwezi Aprili, 2019.


The post BREAKING: Mnyama Simba SC apangiwa na wababe wa DR Congo, TP Mazembe robo fainali ya klabu bingwa Afrika appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More