BREAKING: Nape Nnauye apata ajali ya gari (+picha) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BREAKING: Nape Nnauye apata ajali ya gari (+picha)

Mbunge wa jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM, Nape Nnauye, amepata ajali ya gari leo asubuhi akiwa safarini kuelekea wilayani Liwale kushiriki kikao cha kamati kuu ya siasa ya mkoa wa Lindi.Hata hivyo, imeelezwa kuwa hakuna madhara makubwa yaliyotokea kwa waliokuwa ndani na nje ya gari hilo, ambapo Nape Nnauye alikuwa njiani kwenda kuungana na ziara ya Katibu mkuu wa CCM Taifa, Dr Bashiru Ally anayezuru wilaya ya Liwale.
Chanzo: Azam TV


 


 


The post BREAKING: Nape Nnauye apata ajali ya gari (+picha) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More