BREAKING NEWS: MOHAMMED DEWJI APATIKANA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BREAKING NEWS: MOHAMMED DEWJI APATIKANA

Mohammed Dewji amerudi nyumbani salama. Nimezungumza naye kwa simu dakika 20 zilizopita. Sauti yake inaonyesha yu mzima bukheri wa afya. Shukrani kwa wote kwa dua na sala. Naenda nyumbani kwake kumuona muda huu. @January MakambaCopyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG


Source: KajunasonRead More