BREAKING NEWS: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA WATU 49 MSIKITINI NEW ZEALAND AFIKISHWA MAHAKAMANI - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BREAKING NEWS: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA WATU 49 MSIKITINI NEW ZEALAND AFIKISHWA MAHAKAMANI


Mshukiwa namba moja wa shambulio la kigaidi lililotokea jana nchini New zealand jijini Christchurch, na kuua watu 49, Brenton Terrant (28) amefikishwa tayari mahakamani kwa kuanza kusikiliza shitaka lake linalomkabili.
Waziri Mkuu wa nchi hiyo Jacinda Ardern amesema kuwa licha ya kosa la Mauaji ya kigaidi mshukiwa huyo amekutwa pia na Bunduki tano pamoja na leseni tano za umiliki wa silaha za moto ambo ni kinyume na sheria za New Zealand.
Tarrent ataendelea kuwa chini ya ulinzi hadi April 5, ambapo atafikishwa Mahakamani tena, huku washukiwa wengine wawili bado wanaendelea kuhojiwa na polisi na hadi sasa hakuna hata mmoja mwenye historia ya uhalifu.
Alipozungumza na waandishi wa habari Waziri Ardern amesema kuwa silaha ambazo zimetumika katika shambulio hilo ni zakisasa zaidi na gari la mshukiwa limekutwa na silaha nyingi yakiwepo mabomu, jambo linaloashiria kuwa alikuwa na mpando wa kuendelea na mashambulio maeneo mengine tofauti.
Nakusisitiza juu ya umuhimu wa kuwarudisha marehemu kwa wa... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More