BREAKING NEWZZZZ: MAHAKAMA YAAMURU MBOWE NA MATIKO WAKAMATWE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BREAKING NEWZZZZ: MAHAKAMA YAAMURU MBOWE NA MATIKO WAKAMATWE

 
Na Karama Kenyunko.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeamuru Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko, wakamatwe na kufikishwa mahakamani waje kujieleza kwa nini dhamana yao isifutwe kwa kukiuka masharti ya dhamana.


Source: Issa MichuziRead More