Breaking: Producer Pancho Latino afariki dunia kwa ajali ya maji Mbudya - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Breaking: Producer Pancho Latino afariki dunia kwa ajali ya maji Mbudya

Producer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama Mafia, amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama na maji wakati akiogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jiijini Dar es Salaam.


Wadau mbalimbali wa sanaa na burudani wameanza kutoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki kufuatia msiba huu mzito.


Taarifa zaidi zitafuata. Mungu ailaze roho ya mpendwa wetu mahala pema peponi Amen.


The post Breaking: Producer Pancho Latino afariki dunia kwa ajali ya maji Mbudya appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More