BREANKING NYUZZZZZ.......: MICHAEL WAMBURA APANDISHWA KIZIMBANI LEO, ASOMEWA MASHTAKA 17 YAKIWEMO YA KUTAKATISHA FEDHA - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BREANKING NYUZZZZZ.......: MICHAEL WAMBURA APANDISHWA KIZIMBANI LEO, ASOMEWA MASHTAKA 17 YAKIWEMO YA KUTAKATISHA FEDHA

 Aliyekuwa Makamu  wa Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Michael Wambura akiwa katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akisubiri Kusomewa mashtaka yake ya yanayomkabili. Wambura anadaiwa kuwa na mashtaka zaidi ya kumi Aliyekuwa Makamu  wa Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Michael Wambura akimsikiliza wakili wake, wakati akiwa katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akisubiri Kusomewa mashtaka yake ya yanayomkabili.Na Karama Kenyunko globu ya Jamii. 

Aliyekuwa makamu wa rais wa Shirikisho la  mpira wa miguu nchini (TFF), Michael Wambura amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 17 yakiwemo ya kutakatisha fedha.

Katika kesi hiyo mshtakiwa wambura anakabiliwa na shtaka moja la kughushi, Shtaka moja la kutoa nyaraka za uongo, mashtaka 13 ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na mashtaka mawili ya kutakatisha fedha.

Akisoma hati ya mashtaka wakili wa serikali George Barasa akisaidiana na  Moza Kasubi pamoja na Im... Continue reading ->Source: Issa MichuziRead More