Buffon atundika daluga - Shaffih Dauda | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Buffon atundika daluga

Nahodha wa klabu ya Juventus, Giunluigi Buffon, ametangaza rasmi kuwa ataachana na soka mwisho wa msimu huu. kipa huyo aliyedumu na klabu hiyo kwa takribani miaka 17, sasa ametangaza kuachia ngazi rasmi.Takwimu za Mwaka wa mwisho wa Buffon

Jumla

33


28
17
2.970
Serie ASerie A
Michezo 20 alianza 14 akatoka 11 Dakika 1.800
UEFA Champions LeagueChampions League
Michezo 9 Alizoanza 11 alizotoka 3 dakika 810
Coppa ItaliaCoppa Italia
3 3 270
Supercoppa ItalianaSupercoppa TIM
1 3 90


Buffon, aliyejiunga na klabu ya Juventus, Mwaka 2001, akitokea Palma kwa kitita cha paundi million 30.Ada yake ilimfanya kuwa Kipa ghali duniani rekodi hiyo iliyodumu kwa takribani miaka 17. Baadae rekodi hiyo ilivunjwa na kipa wa klabu ya Manchester city Ederson Moreas, kwa kitita cha paundi million 35, akitokea Benefica nchini Ureno.TIMU YA TAIFA
Source: Shaffih DaudaRead More


About Us

Presstz is a platform that brings together content from selected sources and places them on one portal, The content may vary from breaking news,entertainment posts, music videos, sports highlights, fashion trends etc from Tanzania and accross the globe.


Get the PressTZ Android app on Google Play

Contact us

# Mechi michezo goli
Italy Italy
1 Oct 29, 1997 176
Italy Italy U23
Sep 16, 1997 4
Italy Italy U21
Dec 20, 1995 11
Italy Italy U18
Sep 10, 1994 3
Italy Italy U17
Jan 24, 1995... Continue reading ->