Bunge kuendesha shughuli zake kimtandao - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bunge kuendesha shughuli zake kimtandao

Bunge la Tanzania kupitia spika wake Job Ndugai limetangaza kuendesha shughuli zake za vikao kwa njia ya mtandao kwa wabunge wote. Spika Job Ndugai amesema Bunge litasitisha kutoa karatasi zinazoonesha orodha ya vikao vya shughuli za bunge na badala yake taarifa zote zitatumwa kwa wabunge kwa njia ya mtandao. “Nataka kuwaambia wabunge kuwa karatasi hizi [...]


The post Bunge kuendesha shughuli zake kimtandao appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More