Bunge lahailishwa, maswali 123 yaulizwa - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bunge lahailishwa, maswali 123 yaulizwa

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limehailishwa hadi tarehe 6 Novemba, 2019, baada ya wabunge kufanya shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupitisha marekebisho mbalimbali ya Miswada ya Sheria. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mbali na kupitisha marekebisho ya sheria wabunge walipata fursa ya kuuliza maswali ya msingi 123 na maswali sita ya papo kwa ...


Source: MwanahalisiRead More