Bunge lamwadhibu Lissu, lasitisha msharaha wake - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bunge lamwadhibu Lissu, lasitisha msharaha wake

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amekuja juu baada ya Bunge la Jamhuri kufuta mshahara na posho zake zote. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Lissu ametoa taarifa hiyo jana tarehe 13 Machi 2019 kupitia waraka aliousambaza akidai kuwa, bunge limezuia mshahara wake na posho za kibunge tangu mwezi Januari mwaka huu. Katika taarifa yake hiyo, ...


Source: MwanahalisiRead More