BURIANI MFALME WA REGGAE TANZANIA JAH KIMBUTE - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

BURIANI MFALME WA REGGAE TANZANIA JAH KIMBUTE


 Sehemu ya marafiki wa karibu wa Jah Kimbute wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018 Marafiki wakiaga mwili wa Jah Kimbute Jeneza lenye mwili wa marehemu Jah Kimbute likiingizwa garini tayari kwa safari ya kwenda Tanga kwenye mazishi Marafiki wa karibu wa Jah Kimbute wakiomba dua katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni baada ya kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018Gotta Irie, Dj Ebony Moualim na Carola Kinasha wakimfariji Ras Kimbute, mtoto wa Jah Kimbute,  kabla ya kuanza safari ya kwenda Tanga.
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More