Burundi yaita 23 kwa Afcon, Mavugo ndani - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Burundi yaita 23 kwa Afcon, Mavugo ndani

Kocha wa Burundi, Olivier Niyungeko ametangaza kikosi cha mwisho cha wachezaji 23 akiwemo mshambuliaji wa zamani wa Simba, Laudit Mavugo tayari kwa fainali za Mataifa ya Afrika zitakazoanza Misri hapo Juni 21.


Source: MwanaspotiRead More