Butiku: Wasiotekeleza Sheria ni Wasaliti - Kwanza TV | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Butiku: Wasiotekeleza Sheria ni Wasaliti

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema  wote wanaobabaika kusimamia misingi ya sheria nyakati za uchaguzi ni wasaliti.Butiku amesema uchaguzi wowote ambao ni huru lazima uendeshwe kwa uwazi, haki na kwa mujibu wa sheria ili uzae matunda ya Amani.


“Kufanya kazi ya hovyo siyo kwa sababu amechaguliwa na Rais, fuata Sheria ukiambiwa pinda usipinde , wote wanaobabaika kusimamia sheria ni wasaliti” amesema Butiku.


Butiku amesema kitu kikubwa katika utekelezaji wa dhamira hiyo ni kwa yule alipewa jukumu la kusimamia kuwajibika ipasavyo, ili kuleta haki katika pande zote na si kutumika na vibaraka .Tweet


Source: Kwanza TVRead More