Bwege, Vigogo wa CUF wahamishiwa Lindi - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Bwege, Vigogo wa CUF wahamishiwa Lindi

JESHI la Polisi limewasafirisha viongozi watatu waandamizi wa Chama cha Wananchi (CUF), waliowakamata juzi jioni baada ya kampeni za udiwani kwenye kata Kivinje kutoka kilwa mpaka Lindi. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Viongozi hao wamekamatwa kwa tuhuma ya kufanya uchochezi kwenye mkutano huo wa kampeni za uchaguzi wa marudii kwenye hiyo. Miongoni mwa waliokamatwa, ni ...


Source: MwanahalisiRead More