CAF kuiogesha noti Taifa Stars - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CAF kuiogesha noti Taifa Stars

KWA kufuzu tu fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Misri mwezi ujao, Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imelihakikishia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupata takribani Shilingi 1 bilioni kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).


Source: MwanaspotiRead More