CANADA NA SERIKALI YA TANZANIA YAENDESHA MAFUNZO YA MRADI WA KUKUZA AJIRA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

CANADA NA SERIKALI YA TANZANIA YAENDESHA MAFUNZO YA MRADI WA KUKUZA AJIRA

Mwakilishi wa balozi wa Canada nchini bi Nathalie Garon ambaye pia ni karibu wa Kwanza wa maendeleo na kiongozi wa ukiaji endelevu wa uchumi wa ubalozi huo akifungua semina ya mradi wa kusaidia vyuo vya ufundi nchini unaondelea. Kwenye chuo cha Veta njiro jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha. Mkurugenzi wa elimu ya ufundi wizara ya elimu na ufundi Dkt.Noel Mbonde akiongea kwenye semina ya mradi wa kusaidia vyuo vya ufundi nchini iliyofanyika kwenye chuo cha Veta Njiro jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud ArushaTom Tunney meneja mradi wa ushirikiano na serikali za Canada na Tanzania kuhusu mafunzo ya kukuza maarifa kwenye sekta ya ajira rasmi na isiyo rasmi akitoa mada kwenye semina ya mafunzo yaliowakutanisha wakuu wa vyuo vya ufundi (veta) inayofanyika jijini Arusha picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Na Ahmed Mahmoud Arusha.
Serikali za Canada na Tanzania zinaendesha mradi wa miaka mitano wenye lengo la kusaidia vijana kuweza kuwa na umahiri wa kujiajiri na kujifunza kwa kutenda.
Hay... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More