Cannavaro sasa amsuka mrithi wake - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Cannavaro sasa amsuka mrithi wake

MENEJA mpya wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amekiangalia kikosi chao na kuwataja mabeki watatu wanaoweza kuchukua nafasi yake, lakini akamtaja pia anayeamini kama akitulia atakuwa mrithi wake halisi huku akijipa jukumu zito juu yake.


Source: MwanaspotiRead More