Cape Verde hakuna uwanja wa kutua Dreaminer - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Cape Verde hakuna uwanja wa kutua Dreaminer

SERIKALI kupitia Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Harison Mwakyembe ameeleza sababu za ndege ya serikali aina ya Dreamliner kushindwa kuisafirisha timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars nchini Cape Verde, ni baada ya kukosa uwanja wa kutua ndege hiyo. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Hapo awali serikali ilitoa ndege hiyo kwa ajili ya ...


Source: MwanahalisiRead More